1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KODI 150,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER UKISHUKA UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME MNASHEA WAWILI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347