1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara
โโ
๐ฅ KODI NI Tsh. 150,000/= KWA MWEZI) APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
๐ #LOCATION: UBUNGO EXTERNAL - MAJI CHUMVI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA
BAJAJ 500/= UKISHUKA DKK 2 UNAINGIA NDANI
MUUNDO
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA KIZURI
SEBULE KUBWA
CHOO KIZURI SANA CHA KISASA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
FENI YA JUU
UMEME LUKU WAPANGAJI WAWILI
MAJI BILI WAPANGAJI WAWILI
TILES, GYPSUM BOARD, ALUMINIUM SLIDING WINDOWS
KODI NI Tsh. 150,000/= ร 6
SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030