1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Distance: KM 2 Kutoka KIMARA KOROGWE MWENDOKASI Au UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Public Toilet Outside 🚻
✍️Reserve TANK
✍️Umeme LUKU Yako
✍️MAJI Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Ipo Kwenye Fence
✍️Parking Ya Kutosha 🚘
✍️Good Environment 💥
Itakuwa Wazi 20/09/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp