1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
#Location: ubungo
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-chumba kimoja master
- dipoziti 100000
_ulinzi 60000 kwa mienzi sita
Umeme inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 170000 Malipo Miezi Sita
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.