1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE Dakika 5 Kwa miguu
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Umeme wa luku & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci ila hailazi gari
Usalama wakutosha
Kodi 300,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0679447338
0753454167