1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO MSEWE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Open kitchen
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 300,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0679447338