1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Wazo, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-TEGETA WAZO MIVUMONI
APART NZURI YA KISASA
YA KIBACHELA
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala ambacho ni #Master
#Sebule na #Jiko Zuri
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#FencedApart
KODI TSHS LAKI 250,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
+255-718809744
+255-784234971 Dalali tegeta