1 Bedrooms House/Apartment for sale at Kitunda, Dar Es Salaam







Nyumba (apartment) zipo 5 zinauzwa zote kwa pamoja
Zipo kitunda kwa mpemba
(barabara ya kuelekea kivule)
👉KILA APARTMENT INA CHUMBA KIMOJA NA SEBULE, JIKO NA CHOO NDANI (X5)👈
(JUMLA YA VYUMBA NI 10)
Tailz jipsam
📌BEI MILION 79 MAONGEZ YAPO KIAS📌
UMEME upo kila mtu na LUKU yake
MAJI yapo kila mtu na mita
KUNA KISIMA KIREFU CHA MAJI
Full perving
Gari moja had mjini
Nyaraka ni ya serikal ya mtaa
Unatembea tu had stend
Eneo sqm 420 makadilio
Whatsap au piga 0673601114