2 Bedrooms Furnished House for Rent at Kinondoni, Dar Es Salaam
FULL FURNISHED APARTMENT
Loc: kinondoni
Price:800 USD
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 2 vya kulala kimoja master sebule jiko tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme nyumba nzuri unakuja na begi lako la nguo
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈