2 Bedrooms Furnished House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT.
LOCATION.
KIMARA TEMBONI.
DK 6 - 8 KWA MIGUU TOKA MOROGORO ROAD.
KODI > TZS 800.000/= X 6.
SIFA ZA NYUMBA.
>VYUMBA 2 KIMOJA MASTER.
>SEBULE KUBWA YA KISASA.
>INA JIKO LENYE MAKABATI.
>PUBLIC TOILET YA WAGENI.
>TILES GYPSUM SLIDE WINDOWS.
>HEATER MAJI MOTO NA BARIDI.
>AC SEBULENI NA KWENYE MASTER.
>ELECTRIC FENSI USALAMA BOMBA.
>PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.
>USWAHILI ULETE WEWE TAJIRI.
FULL FURNISHED NI 1.200.000/= X 3.
SERVICE CHARGE NI 30.000
DALALI MALIPO MWEZI MMOJA.
CONTACTS.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
KARIBU NDUGU MTEJA NIKUHUDUMIE