2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


APPARTMENT YA ROOM 2 BUNJU B
🏡NYUMBA ZIPO 2 NDANI YA FENSI
📍 LOCATION: Bunju B (Njia ya Mabwepande)
📌 MAELEZO:
🚪 Vyumba 2 Vya kulala
🛋️ Sebule
🍽️ Jikoni
🚻 Choo cha ndani (Public toilet)
💧 Maji ya Dawasco (mnashare)
🔌 Umeme wa LUKU (unajitegemea)
🛵 Usafiri: Boda kutoka Bunju B Stand hadi nyumba ni Tsh 1,000/=
💰 KODI: Tsh 200,000/= kwa Mwezi
📞 (Call/WhatsApp): 0687 800 788