2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Standalone ya vyumba viwili kali sana kama huamin njoo ulipie....
350,000 kwa mwezi x 4.........
✔️Vyumba viwili kimoja master
✔️Sebule
✔️Jiko kubwa
✔️Public Toilet
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE
[KANISANI]
Service charge 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
kwa mawasiliano zaidi piga simu O677370515