2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (GOBA CENTER) 🔑
Inapangishwa nyumba mpya kabisa, haijawahi kukaliwa, ipo Goba Center.
✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Chumba 1 Master
✅ Sebule
✅ Jiko
✅ Choo cha Public
✅ Umeme unajitegemea
✅ Ina uzio (fence)
✅ Parking kubwa na ya kutosha
✅ Ni apartment ya kisasa na nzuri sana
💵 Kodi: Tsh 750,000
📅 Malipo: Miezi 6
🧾 Service Charge: Tsh 30,000
📞 Simu: 0678 512 666


















