2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
#hii Nyumba ni yakujitegemea
Inavyumba viwili vya kulala (stand Alone)
Bei lk 700,000. KWA MWEZI.
Malipo ya miezi 6.
IPO dar es salaam tz 🇹🇿.
Location Goba center dk 8 kutembea
📍 Ikumbukwe hii Nyumba ni mpyaaa kabisa.
Muundo wa Nyumba.
Vyumba viwili vya kulala kimoja selfu
Sebule kubwa
Dinning room
Public toilet
Jiko lenye kabati
Stoo
Paving block
Full a/c
Umeme WA luku Yako
Maji DAWASA24HRS MITA YAKO
Nyumba IPO ndani ya fence
Ikumbukwe Nyumba inajitegemea ni mpyaaa kabisa.
Kwamalezo zaid call
#0688396025 🤙