2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
HOUSE FOR RENT
LOCATION: GOBA KINZUDI
2 BEDROOMS (All self contained
Chumba kimoja ni self yenye choo cha kukaa
kingine ni self yenye choo cha kuchuchumaa.
PRICE: 500,000 kwa mwezi.
Malipo ni miezi 6 au miezi 12.
Kodi inajumuisha ela ya maji, umeme na ulinzi.
AC ukitaka utafungiwa chumba kimoja.
Karibuni sana wateja. 0780600341