2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
💧Location :: GOBA CENTER - KARIBU NA BARABARA KABISA
💧Bei :: 400,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Fence
NB: NYUMBA HAITAKIWI MTU MWENYE FAMILIA KUBWA
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725
Call /Whatsapp