2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
Stand alone ya vyumba viwili vya kulala kimoja master, jiko,seble na toilet public..Nyumba ipo goba njia nne kituo Nash-park.
Umbali kutoka lami ni mita 400 tu uko kwenye nyumba
Kodi kwa mwezi laki tano malipo ni miezi Sita
Malipo ya dalali ni mwezi 1 yatalipwa na mpangaji.
Service charge 20000
Piga 0719190753