2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
Inapangishwa: Stand alone
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE
dakika moja toka lami
Location :: Goba njia nne
Bei yake :: 1,000,000Tsh kwa mwezi (Miezi 7)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
🌡Service charge 20,000/=
Call/Whatsapp;
0782 724 115