2 Bedrooms House for Rent at Kahama, Mwanza


13/3/2025/nyumba inapangishwa ipo kahama mjini nyumba inasifa zifatazo inaumeme waziada taneco walikata umeme Sola ipo inajiwasha inalizevu tank ya maji ndani ya fence Kuna nyumba mbili tuu kilakitu unajitengemea nyumba ipo kwenye muinuko upepo wakutosha weka oda siku Kama ya leo itakua wazi vyumba 2vyakulala kimoja mastar choo ya wageni sembule jiko kodi 400000kwa mwezi kwamawasiliano/0752587400/0621625987