2 Bedrooms House for Rent at Kahama, Mwanza


7/3/2025/nyumba inapangishwa ipo kahama mbulu inavyumba 2vyakulala kimoja mastar choo ya wageni sembule seemu ya kulia chakula jiko stoo umeme unajitengemea maji mnashea getini Kuna mlinzi mnamchagia kila mwezi Kodi 200000/kwa mwezi kwamawasiliano/0752587400/0621625987