2 Bedrooms House for Rent at Kahama, Mwanza


12/8/2024/nyumba inapangishwa ipo nyasumbi kahama maji umeme unajitengemea nyumba inamulinzi nyumba inavyumba 2vyakulala vyote mastar nahita ipo sembule kumbwa naseemu yachakula jiko lakisasa Kodi 300000/kwa mwezi kwamawasiliano/0752587400