2 Bedrooms House for Rent at Kibada, Dar Es Salaam







GHOROFA LIPO KIBADA LINAPANGISHWA PIA LIPO SOKONI π€
Lina vyumba saba vya kulala kila chumba kina masta
Lina setting room mbili na daining mbili, kitchen kubwa sana, stoo na public mbili
Pia kuna banda lina chumba kimoja na sebule kina masta, Chumba kimoja masta, jiko, stoo, na public tatu
π Ni nyumba ya pili kutoka barabara kuu ya lami ina hati miliki ya Wizara β
π Ukubwa wa eneo wa kiwanja sqm 1901
π Bei ya kupangangisha milioni tatu na nusu (3500000) kwa mwezi mmoja maongezi kidogo
π Bei ya kuuza bilioni 1.1 Tsh
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI