2 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani
APARTMENT 4TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIBAHA KWA MATIASI/KITUO MSIKITINI DK 5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI..
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa /makabati
Public toilet
Heat/maji moto jikoni na chooni
Plate ya jiko la gesi
Slide window
Peving Block
Garden nzur
Feni
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence Zipo 4
Parking space kubwa sana
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37