2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kibamba hospital dakika 8 kutembea mpaka home
Kodi 300000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room kubwa
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128