2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_YENYEWE_HII_KWENYE ENEO LAKE
Β°==
Inapangishwa KIBAMBA SHULE #200k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Bei: 200,000 Kwa mwezi Γ 6
===
Inajitegemea kila kitu, gari mpaka mlangoni fence hakuna usalama WA kutosha Kibamba ni salama Sana
===
Umbali KM 1.5 Bajaji zipo ukishuka dakika 2 upo nyumbani. Lami Kwa Lami hapa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
#0785889413
#0785889413ππππ‘π _π΄πππ²π²