2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND ALONE HOUSE FOR RENT
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE
INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet Kodi 325,000 Kwa mwezi × 6
Inajitegemea kila kitu,
umbali KM 1 toka kituoni unaweza Kutembea au boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15