2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE YA WAYA INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #200k
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet ndani
Kodi 200,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Inajitegemea umeme na maji,
Umbali Dakika 8 Kwa mguu toka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.