2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


#Repost dalali_mbezi_mwisho_kibamba
——
Inapangishwa ipo kibamba hospital inaroom 2 sitting room open kitchen public toilet umeme maji yapo kodi 150 000. Malipo miezi 3/6/9
Kuona sh 15000
Ukipenda nyumba kodi ya mwezi mmoja wa dalali
0716246322