2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZIPO NNE NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIBAMBA CHAMA KM1.5 KUTOKA LAMI
-------
A.
Vyumba 2 vya kulala kimoja master
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Luku yako
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
---------
B.
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Kodi 200,000X6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
-----------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
Dalali_big_kimara