2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam







700,000 KIGAMBONI
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO. KIGAMBONI KISIWANI
UMBALI DAKIKA 8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
Ipondani ya fence parking kubwa sana
Vyumba 2 vyakulala kimoja mast
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina fungwa makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/
Kodi 700,000/=×6
--------
Nb
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 700,000
###0655256419



















