2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na jiko mpya nzuri
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba ina mazingira mazuri
✅nyumba iko karibu na barabara
<> asking price tsh,, 350k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















