2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisota
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina Electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba nzuri na ya kisasa
<> asking price tsh,, 500k per month
mwezi moja wa dalali
<> Services Charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837