2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibugumo barabarani
<> nyumba Ina vyumba viwili kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba Ina parking
✅nyumba nzuri na safii
✅nyumba iko barabarani
<> asking price 350k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837