2 Bedrooms House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam
.
Inapangishwa KIJITONYAMA
Ina vyumba viwili vya kulala kimoja kina choo ndani
Sebule
Jiko
Public toilets
Nyumba nzuri ya kisasa
Kodi 700,000/= Tzs kwa mwezi
Viewing fee 20,000/= Tzs
Agency fee 700,000/= Tzs
Piga: 0769138053
Tembelea ofs zetu zilizopo MWENGE DAR ES SALAAM