2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA NZURI IPO JIRAN NA BARABARA
KODI 400,000X4
LOCATION: KIMARA SUKA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA NA STORE
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
ZIPO APARTMENT MBILI TU
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
UMBALI DAKIKA 8 KWA MGUU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940