2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1
USAFIRI NI BAJAJI 700/
UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA SANA
DINNING CHOO NI PUBLIC HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPACE KUBWA SANA
====
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
O679447338
O753454167