2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🗯️ Inapangishwa KIMARA KOROGWE
📍 350,000/= *6
_________
___
📌 Barabara Nzuri ya Zege hadi Kwenye Nyumba
• Vyumba 2 vya kulala (vyote Master)
• Sebule
• Jiko
• Public toilet
* Ndani ya Fensi
* Inajitegemea UMEME
* MAJI yanatoka Ndani
* Parking
* Mazingira tulivu
#Umbali wa 2KM usafiri upo mwingi Bajaji Tsh. 500 tu
#Unaweza pita pia Ubungo External
______
★ *MUHIMU SANA:-*
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000
#Malipo ya Dalali ni 350,000/=
______
0753-172-516