2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA.
-------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa lina wekwa kabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Paving block zina wekwa
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐