2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APANTIMET KARI IPO KIMARA TEMBONI UMBARI KILOMITA MOJA TU USAFIRI UPO MWINGI SANA BAJAJI MIA 5 BODA BUKU MUDA WOTE
BEI LAKI TATU KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 6
300,000X6
BARABARA RAFIKI GARI LOLOTEE LINAFIKA LAMI TUPU
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
CHOO SAFI
INAJITEGE
UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO MDA WOTE IPO NDANI YA FENS USALAMA WA KUTOSHA
INA TILE'S JIPSAM DILISHA LA KIOO
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMLIPA KODI YAMWEZI MMOJA
COLL
0713320608
0686334182