2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA MOJA INAKUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU TAREHE 30/07/2024 MAREKEBISHO YANAFANYIKA YA VYOO VYOTE VINAWEKWA VIPYA MILANGO YA CHOONI INAWEKWA YA ALUMINUM
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336