2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 KIMARA MWISHO
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING ❌
#
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO AU NJIA YA COROGWE MSKIT WA UDONGO NI DK 2 AD 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
💥 NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI