2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO
MAJI NA UMEME VINAJITEGEMEA .
LOCATION:NYUMBA IKO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UKISHUKA DAKIKA 2 UPO KWENYE NYUMBA .
HAINA FENSI ILA IPO MTAA WA KISHUA MAZINGIRA MAZURI USALAMA ASILIMIA MIA.
NYUMBA ITAKUWA WAZI TRH 30/1/2025 .
KUANGALIA NA KULIPA RUHUSA ITAKAYOKUWA WAZI NI YA CHINI.
π°BEI LAKI 4 MWEZI X MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15,000
#0625606710