2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







300,000 x3. 0759151524
Inaoangishwa KIMARA STOP OVER
๐ Kodi 300,000/= *3 (kodi hata miez mitatu)
โโโ
โโ
#kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda 1000 kwa mguu dk 17 mpaka Kwenye nyumba
๐HII INAFAULISHWA KUONA NA KUFANYA MALIPO INARUSIWA IPO WAZI
MALIPO KUAZIA MIEZI 3,4,5,6
#SIFAZAKE
โข Vyumba 2 (kimoja Master)
โข Sebule
โข Jiko
โข Public Toilet
* Umeme Luku Yake
* Maji meter yake na yanaflow ndani
* Reserve Tank
* Fensi & Parking Kubwa
๐ Ya Chini inapangishwa
๐ Kodi inaambatana na hela ya tahadhali mwezi mmoja km una miezi 2 njoo na hela ya tahadahali mwezi mmoja
_______
#Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
______________
#Piga_simu ๐
0679 956 863
0759151524
0781 418 437