2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(400,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
#CHOO CHAKE KINA MILANGO 2 WA CHUMBANI NA SEBLENI
#JIKO KUBWA
#PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300