2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI NAYA KISASA IPO KIMARA MWISHO DK 7 _8 UPO ROAD 🛣️ KABISAAA 300K × 6 FIXED
SIFA
VYUMBA 2 NA 1 MASTER BEDROOM KUBWAA SAFIIIII SEBULE NA DINNING ROOM YAKO SAFI
JIKO NA MAKABATII SAFIII NA PUBLIC TOILET 🚽🪠
NDANI YA FENCE ZIPO 2 TU NA KILA MOJA INAJITEGEMEA KILA KITU
KODI 300,000 × 6 ( FIXED)
UKILIPIA UNAMPA DALALI KISMATI UBUNGO MWEZI MMOJA
SERVICE CHARGE 15,000/=
Dalali ya mwezi mmoja
SIMU
0712656027