2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#HAKUNA JIKO
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA DK 2 GETINI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI ZEGE MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA