2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI NI DK 10
KWA MGUU KUTOKA MWENDO KASI
=====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER
SEBULE JIKO STOO .NA CHOO CHA PABLIC
ZIPO MBILI TUU
KWENYE FENSI
===
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 250,000/=X4 AU 6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
NAFAULISHA HAPA
MTEJA WANGU KAPATA UHAMISHO
===
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI