2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI.
VYUMBA 2 VYA KULALA HAKUNA MASTER BEDROOM.
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI.
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 200,000/=×6
CALL 0659244543