2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA IMEBAKI MOJA TU
LOCATION: 
KIMARA MWISHO 
DAKIKA 7 KWA MGUU
KODI 350,000X6 
VYUMBA 2 KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET NDANI 
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
IPO NDANI YA FENSI ILA GARI HAIFIKI NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA 
Contact ๐ฒ 
0713661530_0783661530




















