2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER  DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI  BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA  KUINGIA  TAR 15.4.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA 
--------
Vyumba  2 vya kulala kimoja master bedroom 
Seble kubwa 
Jiko kubwa la kisasa lina makabati 
Heater ya maji moto maji baridi 
Tiles 
Gypsum 
Slide window 
Ndani ya fence 
Parking space kubwa sana 
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000/=ร6
----------
NA KUNA CHUMBA 
SEBLE KUBWA 
MAJI YANA FLOW 
LUKU YAKO 
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
----
KODI 250,000/=ร6
-----
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA  TU. 
------
CONTACT 
๐#0672 673363



















